MAKAMU WA RAIS AITAKA WIZARA YA AFYA KUACHA KULIMBIKIZA MADENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa wizara ya afya  kuacha tabia ya Kulimbikiza madeni kwa wasambazaji wa dawa ili kuondosha usumbufu wa upatikanaji wa dawa  hali inayopelekea malalamiko  kutoka kwa wananchi . Mhe. Hemed ameeleza hayo wakati alipofanya ziara ya kuangalia hali ya uingizwaji na usambazwaji  wa